Labda inabidi tuchapane kwanza. Maana kama si kuchapana asingetokea huyu Kagame, watu wangeng'ang'ania hadi mwisho kama hivi sasa na chama haramu cha CCM. Ila vita Tanzania itakuwa baina ya raia wema na hawa wachache walioiteka nchi chini ya chama chao! Honestly, tulipofikia lolote lije!