Rais wa DARUSO alikoroga UDSM

Fanyeni ujinga wenu tunawakaribisha mtaani tupambane na hali zetu mnadhani chuo ni kijiwe sio, sie tunahangaika kuwasomesha mnaleta ujinga wenu haya karibuni mtaani tuone hata kama mtajaribu kuongea hizo pumba zenu.
 
Wana DARUSO sio wa mchezo,unaweza ukalala ukiwa Raisi,Makamu wa Raisi na ukaamka ukajikuta nimwanachuo wa kawaida sio Raisi au makamu tena
 
Kiki zote hizi zanini jamani???yani MTU wanamna hii ni ishara tosha kuwa anapnda self interest bila kujali maumivu ya majority......nonesens
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…