Jana barca amedharilishwa kinoma
Akija bongo utampa tako?
Kama mabwege wengine wa Nyau Fc ya bongoBwege tu huyo..
Wale wa bongo ni mambumbumbuKama mabwege wengine wa Nyau Fc ya bongo
Nikuulize wewe mkuu maana naona una stress kweli kweli!! Huyo ndiye CR7!!Akija bongo utampa tako?
hawa wa b1Kama mabwege wengine wa Nyau Fc ya bongo
ilikuwa kabla ya werld cup 2006 ujerumani iyo. Ronaldihno alikuwa ndio kavuma hasaBarca ilikuwa ya kina Etoo,Ronaldinho,Kluivert bwana.Kina Iniesta washazeeka sasa.Nakumbuka île Barça ya mwaka 2006 iliyowafunga Arsenal pale Stade de France jijini Paris.