HUYU MPAMAGAYA anaropoka nini ili asionekane ji serial killer?Humjui vizuri huyu serial killer!!
Haya ni maneno ya Rais Kagame.
Tatizo kubwa la historia ya Afrika, imeandikwa kutoka sehemu nyingine na watu wengine wasiokua Waafrika. Ndio maana kila mtu anaiangalia Afrika nakuisemelea vile anavyojisikia kusema.Wanatunga mitizamo ya hisia zao na sio uhalisia ulivyo. Tunachoweza kufanya kwa manufaa yetu ni kuyamiliki matatizo yetu, na kutengeneza utatuzi wetu wenyewe kisha tuandike historia yetu wenyewe. Hii itatusaidia kujua ni kiasi gani cha hatari inatukabili, na mtizamo utakua halisi.
Huyu ndie Rais anaongoza watu wake, sio anaeruka juu ya vichwa vya anaowaongoza. Kudos Kagame. ​MODS mpeni huyu jamaa membership, typical great thinker.
Humjui vizuri huyu serial killer!!
Man of God, nisaidie mtumishi yani mtu anaongelea swala la bara la Afrika kwenye kioo cha uso wa dunia nzima, wewe unaanza kumuongelea udhaifu na machafu yake. Tuache fikra za kujadili watu, tujadili ukombozi jamani wa fikra zetu kwanza.:target:Acha chuki binafsi na ujadili hoja...
Acha chuki binafsi na ujadili hoja...
Mkuu niko na wewe 100%,Jamaa ninamkubali! usicheze na mtu aliwahii kutufunga mnyororo na kutuuza kama bidhaa! na leo hii tunantegemea kutuondolea umasikini
Nayaheshimu sana maoni yako kwani yanaonesha mtazamo wakoSio chuki binafsi!!! huyu mtu hatari sanaAAAAAAAAAAAA!!
Man of God, Its better to be hated for who you are, than to be loved for someone you are not...... Mungu amaekuleta kwenye hii mada kwa kusudi. Naamini.Nayaheshimu sana maoni yako kwani yanaonesha mtazamo wako
kwa mtu, lakini kumbuka kuwa kumshutumu mtu pasipo kubainisha
kwanini yeye ni hatari pia unaonekana hata wewe ni HATARI...
Sio chuki binafsi!!! huyu mtu hatari sanaAAAAAAAAAAAA!!
Humjui vizuri huyu serial killer!!