Naona Braza Mkubwa
The Boss, na wengine washaanza kupata somo, kwamba bila Spidi Gavana MAZA wetu atapiga mnada hadi misikiti na makanisa. Nafurahi kwamba sasa watu wameanza kufahamu kwamba, MAZA alitumia dini kufanya Divide and Rule, halafu baadaye akaanza kutusawazisha vizuri.
Hili hata baadhi yetu lilitukuta kipindi cha utawala wa BWANA YULEEE, alivyoanza hata mimi niliamini MASIHI amefika. Baada ya kusema tu kwamba "Wachagga wasubiri sehemu nyingine ziendelee kwanza" nikajua hapa tushapigwa vibaya.