Nani atalinda Ikolojia mbugani?Ndio maana ya EIA ,kabla ya kufanya hivyo lazima hiyo kitunifanyike kuonesha namna ikolojia italindwa.
Wao wameweza maana wametoa elimu ya kutosha kwa watu wao kulinda na kuheshimu raslimali zao hata kabla hawajafikiria kuchimba madini.Kwani ni Tanzania pekee ndio wa kwanza kuchimba Madini hitadhini? Huko Amazon inafanyika hivyo na kwingine.
Mkuu kwenye kusifu tutasifia, lakini kwenye makosa pia tutakosoa.Sijaona hoja ya msingi yaani Kila kitu ni kupinga tuu.
Usilinganishe mradi mkubwa wa kimkakati kama ule na project za kuchimba Ruby, Tourmaline, Green Garnet au Dhahabu.Bwawa la Nyerere limefanyika hitadhini na hakuna kilichoharibika.
Uchimbaji wa huko hifadhini sio sawa na uchimbaji wa kienyeji wa Wachimbaji Wadogo.Nani atalinda Ikolojia mbugani?
Watanzania hawa wa mijini wanajenga kwenye service road, wanajenga mabondeni na hakuna anayewasimamia, utaewasimamia wachimba madini porini wasikate miti, wasiue swala nk?
Wao wameweza maana wametoa elimu ya kutosha kwa watu wao kulinda na kuheshimu raslimali zao hata kabla hawajafikiria kuchimba madini.
Ndiyo maana leo wanavijiji wa Brazil wakivamiwa na Anakonda wanamkamata na kumrudisha porini.
Watanzania wakivamiwa na nyumbu watamuua kumfanya kitoweo.
Mkuu kwenye kusifu tutasifia, lakini kwenye makosa pia tutakosoa.
Tuliwaunga mkono kuhamisha wamasai kwa nia ya kulinda mapori yetu, lakini hili la kufukua fukua hifadhini tutalipinga.
Usilinganishe mradi mkubwa wa kimkakati kama ule na project za kuchimba Ruby, Tourmaline, Green Garnet au Dhahabu.
Hiyo ni vurugu hifadhini.
Haiwezekani.
Naunga mkono hojaJuzi Rais Samia kasema madini yachimbwe kwenye mbuga, cha muhimu hela. Hii kauli si sahihi kabisa tena sio sahihi kutoka kwa Rais wa nchi.
Mnatutaharibia urithi wetu wa Dunia....acheni tamaa.Uchimbaji wa huko hifadhini sio sawa na uchimbaji wa kienyeji wa Wachimbaji Wadogo.
Huo utakuwa uchimbaji controlled kama ilivyo GGM au migodi mingine mikubwa kwenye Nchi za wenzetu wanaofanya mining kwenye Hifadhi au jirani na Hifadhi.
Utaharibikaje sasa,kwani Madini yatachombwa milele? Na pia kwani yanachimbwa kienyeji Hadi urithi uharibike? Nchi nyingi zinachimba sio Tanzania pekee.Mnatutaharibia urithi wetu wa Dunia....acheni tamaa.
Athari za kimazingira sababu ya uchimbaji madini zinafahamika.Utaharibikaje sasa,kwani Madini yatachombwa milele? Na pia kwani yanachimbwa kienyeji Hadi urithi uharibike? Nchi nyingi zinachimba sio Tanzania pekee.
Hata hivyo Serikali inaweza amua kupunguza eneo la Hifadhi kama Kuna ulazima.
Si ndio maana ya Kufa EIA Ili kupunguza hizo athari? Mzee vipi? Hamtaki Madini yachimbwe au?Athari za kimazingira sababu ya uchimbaji madini zinafahamika.
Binafsi naamini kabisa Raisi yuko sahihi, wanyama hawali madini.
Mama yetu inabidi tuendelee kumwamini kama tulivyomwamini kwenye sakata la bandari, na tusikate tamaa kumtetea. Hizi fitna za kuzuia Madini yasichimbwe ni Propaganda za Kikatoliki kwasababu wananufaika na hizo mbuga, endapo tutaanza kuchimba madini ni lazima maslahi ya kanisa yataguswa.
Halafu makampuni ya UAE yakichimba madini hayawezi kuharibu mazingira. Kama Ortello Hunting wako miaka na miaka na hakuna uharibifu wowote ule, sembuse kuchimba madini ? Hawa ndugu zetu waarabu wana mitaji mikubwa na wana ustaarabu sana kwenye mazingira. Waliweza kuigeuza Dubai kutoka jangwa kuwa jiji la kitalii, sidhani kama wanaweza kuharibu mazingira.
Kama tulimwamini Raisi kwenye makubwa kama Bandari, basi na hili la mbuga tumwamini.
Mr Q
Mkuu, upumbavu wako ni wa kiwango cha juu sana...unayo akili timamu kweli?!.Binafsi naamini kabisa Raisi yuko sahihi, wanyama hawali madini.
Mama yetu inabidi tuendelee kumwamini kama tulivyomwamini kwenye sakata la bandari, na tusikate tamaa kumtetea. Hizi fitna za kuzuia Madini yasichimbwe ni Propaganda za Kikatoliki kwasababu wananufaika na hizo mbuga, endapo tutaanza kuchimba madini ni lazima maslahi ya kanisa yataguswa.
Halafu makampuni ya UAE yakichimba madini hayawezi kuharibu mazingira. Kama Ortello Hunting wako miaka na miaka na hakuna uharibifu wowote ule, sembuse kuchimba madini ? Hawa ndugu zetu waarabu wana mitaji mikubwa na wana ustaarabu sana kwenye mazingira. Waliweza kuigeuza Dubai kutoka jangwa kuwa jiji la kitalii, sidhani kama wanaweza kuharibu mazingira.
Kama tulimwamini Raisi kwenye makubwa kama Bandari, basi na hili la mbuga tumwamini.
Mr Q
Uchimbaji wa huko hifadhini sio sawa na uchimbaji wa kienyeji wa Wachimbaji Wadogo.
Huo utakuwa uchimbaji controlled kama ilivyo GGM au migodi mingine mikubwa kwenye Nchi za wenzetu wanaofanya mining kwenye Hifadhi au jirani na Hifadhi.
..Serengeti ni mbuga maarufu kuliko zote hapa nchini, na katika ukanda wa Afrika.
..Pia Serengeti ndiyo mbuga inayotupatia mapato makubwa kuliko mbuga zote hapa Tanganyika.
..Serengeti ina historia na jina kubwa duniani. Kazi za kuitunza na kuitangaza Serengeti imefanyika kwa miaka mingi sana.
..Thamani na umuhimu wa Serengeti kwa Tanganyika, ni sawa na thamani ya Mapiramidi kwa wenzetu wa Misri.
..Serikali ya Misri ikichukua uamuzi wa kuchimba madini ktk maeneo yaliko Mapiramidi lazima wananchi wa Misri watahoji, na dunia itawashangaa viongozi wao.
..Ziko mbuga na hifadhi hapa Tanganyika serikali inaweza kuchimba madini, au hata kuzifuta, na wananchi wasishtuke. Lakini sio Serengeti, Ngorongoro, na Mlima Kilimanjaro.
..Serengeti ni URITHI wa vizazi vya Watanganyika. Ni "mboni" ya uhifadhi na utalii hapa Tanganyika. Kila Raisi anayeingia anapaswa kuitunza.
Ukatoliki unakujaje hapa kwenye kauli ya Raisi na Madini ya mbugani?
Kwamba wakatoliki wanahusikaje na madini yaliyopo Mbugani we jamaa?
Mkuu, upumbavu wako ni wa kiwango cha juu sana...unayo akili timamu kweli?!.
Binafsi naamini kabisa Raisi yuko sahihi, wanyama hawali madini.
Mama yetu inabidi tuendelee kumwamini kama tulivyomwamini kwenye sakata la bandari, na tusikate tamaa kumtetea. Hizi fitna za kuzuia Madini yasichimbwe ni Propaganda za Kikatoliki kwasababu wananufaika na hizo mbuga, endapo tutaanza kuchimba madini ni lazima maslahi ya kanisa yataguswa.
Halafu makampuni ya UAE yakichimba madini hayawezi kuharibu mazingira. Kama Ortello Hunting wako miaka na miaka na hakuna uharibifu wowote ule, sembuse kuchimba madini ? Hawa ndugu zetu waarabu wana mitaji mikubwa na wana ustaarabu sana kwenye mazingira. Waliweza kuigeuza Dubai kutoka jangwa kuwa jiji la kitalii, sidhani kama wanaweza kuharibu mazingira.
Kama tulimwamini Raisi kwenye makubwa kama Bandari, basi na hili la mbuga tumwamini.
Mr Q
Halafu atachafuka vibaya Sana especially hizo kampuni za madini zikitoka huko Asia... western media zitamchafua kupita maelezo....Huyu akichimba madini Serengeti halafu dunia nzima ikasusa kuja Tanzania ndiyo atajua hajui.