Yes shove ur take up ye bumMy take!
kwa kauli hii tayari Raila yuko nje ya mchakato! Aandae mashamba ya kulima
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Kama Hillary Clinton yupo...itakuwa wanaume wa Afrika!Bora ajiandae kisaikolojia, maana siasa za Afrika unaweza kufa kwaa presha...
Amigo, sisi tunataka mvuke salama ili tuwazidi mchana kweupe mkiwa mnaona! Tangu lini ukaona sisi tukishabikia uvunjifu wa amani!Cha msingi ni kila Mkenya aamke asubuhi tarehe nane na kutimiza haki yake ya msingi kwa amani. Najua hii kauli ya Raila inawauma sana nyie Wabongo maana wengi wenu mnategemea sana fujo zitendeke ili iwe mtaji kwenu. Nawahakikishia tukivuka uchaguzi bila vurugu, msahau milele kuifikia Kenya kicuhumi, kielimu na kwa kila kitu.
Yaani naomba tuvuke tu vizuri, yeyote atakayekua rais sijali, iwe Raila au tuendelee na Uhuru, lakini tuvuke vizuri na kuendelea kuwanyoosha nyie.
Amigo, sisi tunataka mvuke salama ili tuwazidi mchana kweupe mkiwa mnaona! Tangu lini ukaona sisi tukishabikia uvunjifu wa amani!
Hatutaki tuanze kupata mzigo wa wakimbizi sa hizi!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Wapi, wewe hapa mara ngapi umekua ukichekelea kila ukusikia wana biashara wa Uganda watahamia kuja kwa bandari yenu fujo zikitokea Kenya.
Halafu pia, mara ya mwisho tulipokua na fujo, watu wetu walienda Uganda maana wale kidogo tunaendana. Nyie hapo hakuna aliyeshughulika kuja kwenu maana kwa kweli hatuendani kwa chochote, labda tu kwamba tunatumia lugha moja lakini tunapishana kwa kila kitu, nilishangaa hata hatuendani kidini maana cha kushanga Wakristo wa Tanzania wanasheherekea mashambulizi ya alshabaab Kenya, hiyo ina maana sisi na nyie hamna sehemu tunaingiana.

Mwanasiasa anayeongelea hypotheticals za kushindwa uchaguzi kabla uchaguzi haujafanyika, ameshashindwa kabla hata hajaanza.
Wanasiasa wazoefu hukataa kuongelea hypotheticals kama hizo.
Kocha anayeanza kuongelea timu kufungwa kabla mechi haijafanyika, anaua morale ya timu.
Hili tu linaonyesha Raila hafai kuongoza. Atakwenda kwenye nyanja za kimataifa huko watu wanatumia saikolojia ya juu, atashindwa ku negotiate mambo.
Pande zote hazikutakiwa ku entertain kushindwa kwa siasa za kawaida. Lakini naelewa Kenya haina siasa za kawaida.Hilo swali limeulizwa kutoka pande zote mbili. Rais Kenyatta pia amesema kuwa akishindwa hatakwamia mamlaka!
Sasa unataka tukatae kufanya biashara na waganda kisa fujo zimetokea kwenu? Ebo, hii ni biashara lazima iendelee!
Fujo zenu hizo za kujitakia haziwezi kituzuia kufanya biashara Besides, hata kabla ya hizo fujo bado tunafanya biashara na waganda maana mpaka sasa mizigo kadhaa ya kwao inapitia dar!
Suala la kwenda Uganda kutafuta hifadhi, tena nendeni huko huko! Mzigo tulio nao wa warundi, wakongomani na wanyarwanda kadhaa unatuzidi! Ninyi nendeni huko labda itawasaidia na kupata kisiwa na migingo!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Kenya watu waliuana bada ya uchaguzi..
Pande zote hazikutakiwa ku entertain kushindwa kwa siasa za kawaida. Lakini naelewa Kenya haina siasa za kawaida.
Na pengine Kenya kuna a very unique situation ambayo sijaifikiria sana inayowafanya waweze ku entertain hilo swali.
Kenya watu waliuana baada ya uchaguzi.
Kwa hiyo ukikataa kujibu swali kama hilo, inaweza kutafsirikakwamba ukishindwa uchaguzi utaanzisha vita.
Na hiyo pia imechangia Uhuru Kenyatta kujibu hivyo.Kwamba matokeo ya uchaguzi yataheshimiwa na hakuna atakayeanzisha vita kutaka kubaki madarakani.
Nafikiri Odinga na Kenyatta wote wamefika hapo kwa sababu ya nepotism na si the best that Kenya can wish for kama kungekuwa na level playing field.Hii ndio sababu haswa!
Kuna mwanasiasa alikwepa swali kwa kuuliza "what is is?"Kuna hypothetical question ambayo kila mwanasiasa huulizwa. Halikwepeki hilo swali....
Hili swali nimekuwa nakujibu mara kwa mara, nashangaa ulivo kichwa ngumu kulielewa!Nyie sio wa kutegemea, maana Wanyarwanda wamechinjana hapo mkiwachekea ilhali historia ipo wazi kwamba hiyo nchi yao ilikua mkoa wenu. Mna roho mbaya sana nyie...
Kuulizwa sio shida, jinsi inavyojibu ndio inaonyesha strength yako!Kuna hypothetical question ambayo kila mwanasiasa huulizwa. Halikwepeki hilo swali....