Maneno hayana MFUPA TOXICSASA HAYA UNAONGEA UNAOTA au? Raisi wa Kenya ipi? Hujasikia matokeo ya uchaguzi au kiburi tu? Wakenya wameshaongea kuwa UHURU ndio raisi wao bana.
Maneno hayana MFUPA TOXICSASA HAYA UNAONGEA UNAOTA au? Raisi wa Kenya ipi? Hujasikia matokeo ya uchaguzi au kiburi tu? Wakenya wameshaongea kuwa UHURU ndio raisi wao bana.
Tatizo haya wasomi wa jukwaa hili hawalijui hili usemalo. Tatizo la wengi ni kama bendera kufuata upepo. Hawajui siasa za Kenya za ukabila kuwa ni vigumu kwa Rais wa nchi hiyo kama hujawa kibaraka wa wakubwa wa Kikuyu.
KUMBUKENI kuwa hili ya kibaraka wa watu wengine lilimshinda hata babake Raila na ndilo linalomshinda wakati huu.
Suala la Uhuru si kwa sababu anspendwa sana no.no.no.Bali kwa siasa za Kenya hata angebakia Martha Karua bila ya Kenyata ni lazima angeshinda tu kwa kuwa ni kutoka katika kabila la watawala.
Utasema mbona Moi alipewa madaraka? Mbona majibu ni sawa na ya Ruto kwa sasa?
Ni ukweli mtupu uyasemayo mdau,Raila Odinga ndiye hasa anastahili kuiongoza Kenya lakin kutokana na Ukabila itakuwa ngumu sana kuwa Rais wa Kenya,Ili ukubalike Kenya ni lazima utoke kwenye makabila makubwa ya huko kama KIKUYU etc.Namuonea huruma sana Odinga kwani siku zake zinahesabika anamuda mfupi sana wa kuishi kwani wakikuyu sio watu wazuri wanapesa sana na wanaweza kufanya lolote,hebu kumbuka jinsi kifo cha SAITOTI kilivyotengenezwa na kuhitimisha ndoto zake za kuongoza Kenya na wachungaji wakabariki bwana ametoa na bwana ametwaa.Sijui ukabila utaisha lini Kenya naona kiza mbele lakini kwa mbali naona serikali ya mseto tena Kenya,na mwisho wa upeo wa macho yangu naona machafuka mengine Kenya.Raila Odinga,ndiye rais wa wakenya ambaye kwa bahati mbaya kutokana na tabia yake ya kutomuogopa yeyote na kutomuonea aibu yeyote imekuwa ni tishio sana kwa mafisadi wa kenya,hivyo basi huundiwa mizengwe mizito sana nyakati za chaguzi ili asishike madaraka makubwa kenya kama wanavyomtaka wananchi wengi wanyonge,asije leta kilio na kusaga kwa mafisadi waliopo kwenye serikali na waliokuwepo zamani,kwa sababu anaweza kukutia kwenye kibano muda wowote ikiwa tu anao ushahidi wa kutosha wa ufisadi wako,na kwa hili hana rafiki,kama unataka mwende sawa basi weka mambo kwenye mstari.Kwa maslahi ya nchi na wananchi wa kenya yupo tayari kukosana hata marafiki zake wa karibu(kama ilivyotokea kwa william ruto na musalia mudavadi) kama itaonekana wanajihusisha kwa namna moja ama nyingine na vitendo vya kifisadi.Raila anafahamika kama mtu ambaye huongea kwa vitendo zaidi kuliko maneno,kwa namna nyingine maneno yake hufuata matendo yake.Huyu ndiye Raila Odinga kama anavyofahamika kwa wakenya wengi kwa kifupi.
Tatizo haya wasomi wa jukwaa hili hawalijui hili usemalo. Tatizo la wengi ni kama bendera kufuata upepo. Hawajui siasa za Kenya za ukabila kuwa ni vigumu kwa Rais wa nchi hiyo kama hujawa kibaraka wa wakubwa wa Kikuyu.
KUMBUKENI kuwa hili ya kibaraka wa watu wengine lilimshinda hata babake Raila na ndilo linalomshinda wakati huu.
Suala la Uhuru si kwa sababu anspendwa sana no.no.no.Bali kwa siasa za Kenya hata angebakia Martha Karua bila ya Kenyata ni lazima angeshinda tu kwa kuwa ni kutoka katika kabila la watawala.
Utasema mbona Moi alipewa madaraka? Mbona majibu ni sawa na ya Ruto kwa sasa?
Rais wa wapi yet the fact is 57% of Kenyans wamemkataa!Hata tukimpa hizo 'kura' anazodai kuibiwa bado unakuta zaidi ya 53% ya wakenya hawamtaki.Hizi ni hesabu,numbers dont lie...tuendelee na porojo bila hesabu kama Raila alivyodanganywa na wapambe wake.
Mkuu Lonestriker,hakuna mtu anabishana na namba hapa,tunachobishia ni mchakato wa upatikanaji wa hizo namba,hizo namba zinabakibaki hivyo hivyo na ndizo zitakazohukumu ukweli wa Raila au uongo wake.Africa hatutatakiwi kufumbia macho michakato mibovu na mifumo miovu ya upatikanaji wa viongozi wetu,lazima kila uovu uwao wote kwenye chaguzi zetu uwe adressed na hatua madhubuti zichukuliwe ili kuondoa uhuni ambao unatuuza nje kwamba bado hatujastaarabika,yote hii kwa sababu tu ya watu wachache ambao wapo tayari kutia kemikali kwenye mahesabu ya kura ili washinde nafasi za uongozi katika nchi zetu.Hapana,inatosha,lazima tuamke.Hizo asilimia tukaziongelee mahakamani.Punguza hisia,nani amekwambia mimi ni Mkenya?Am talking about numbers sio any other porojo...bishana na namba but you wont change them,For you information UHURUTO hawakupigiwa kura na makabila mawili tu,again natumia hesabu,Wakikuyu na Kalenjin ni kama 34% ya wakenya,madai yako kuwa alipigiwa kura na makabila 2 kimahesabu hayakubaliki...endeleza porojo ila ukitaka ukweli cheki hesabu...mathematically it was not about distribution of votes,it was about 50% 1 vote...I repeat again,50% 1 vote.
Tatizo haya wasomi wa jukwaa hili hawalijui hili usemalo. Tatizo la wengi ni kama bendera kufuata upepo. Hawajui siasa za Kenya za ukabila kuwa ni vigumu kwa Rais wa nchi hiyo kama hujawa kibaraka wa wakubwa wa Kikuyu.
KUMBUKENI kuwa hili ya kibaraka wa watu wengine lilimshinda hata babake Raila na ndilo linalomshinda wakati huu.
Suala la Uhuru si kwa sababu anspendwa sana no.no.no.Bali kwa siasa za Kenya hata angebakia Martha Karua bila ya Kenyata ni lazima angeshinda tu kwa kuwa ni kutoka katika kabila la watawala.
Utasema mbona Moi alipewa madaraka? Mbona majibu ni sawa na ya Ruto kwa sasa?
Mkuu Lonestriker,hakuna mtu anabishana na namba hapa,tunachobishia ni mchakato wa upatikanaji wa hizo namba,hizo namba zinabakibaki hivyo hivyo na ndizo zitakazohukumu ukweli wa Raila au uongo wake.Africa hatutatakiwi kufumbia macho michakato mibovu na mifumo miovu ya upatikanaji wa viongozi wetu,lazima kila uovu uwao wote kwenye chaguzi zetu uwe adressed na hatua madhubuti zichukuliwe ili kuondoa uhuni ambao unatuuza nje kwamba bado hatujastaarabika,yote hii kwa sababu tu ya watu wachache ambao wapo tayari kutia kemikali kwenye mahesabu ya kura ili washinde nafasi za uongozi katika nchi zetu.Hapana,inatosha,lazima tuamke.Hizo asilimia tukaziongelee mahakamani.
Watz bana kwa kupenda kupoteza muda sidhani kama wakenya wanafanyaga Hivi kwenye chaguzi zetu hata ukiwauliza rais wa tz hawamjui ni nani umbea tuuu na longolongo
mm ninachotaka kumwambia toxic hivi ni kwanini ni lazima Odinga awe Rais, maana hata kura zikurudiwa hawezi kumzidi Uhuru, Yeye Odinga umri umeshamtupa angekubali kushindwa na akapumzike nyumbaniAti rais wa Kenya,,,hiyo ni Kenya ipi??????
Yeye ni waziri mkuu anaye ondoka baada ya kuhudumu kwa miaka 5 na hakua na chochote cha kuonesha wa Kenya vile
alivyo fanya hiyo miaka mitano. Lakini,,,alijijengea ofisi ya shs 800,000,000(800 Million) na
kutumia wakati wake mwingi kwa kuzuru nchi za ng'ambo
wengi hawana habari,,,kwamba,,, pamoja na marupu rupu mengi aliyo kua nayo,,
ati ukweli ni kwamba bwana Raila Agwambo alikua na mshahara mkubwa hata kuliko rais Kibaki,,,amini usiamini. Huyu ndiye ati,,,,kichekesho,,,,angewapeleka wakenya,,ati,,,Canaan