dogo
Joseverest kafukuzwa nyumbani kwa shemeji yake kaambiwa aende kujitegemea mda wote alikuwa anakingiwa kifua na dada yake. Yeye kula kulala no free wifi ya shem wake na bando huku miguu kaiweka kwenye sofa. Sasa hivi umuoni kwa sana humu yuko uswaz hali ngumu