Rafiki yangu uko wapi??

Timor

Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
48
Reaction score
33
Namtafuta best friend wangu JESCA NAIMAN MOIRO kutoka Baraa,Mashono ,Moivaro Arusha, Tulisoma naye Tabora Girls School ikiitwa WARSAW enzi hizo miaka ya 1982-1986.

Alibahatika kuendelea na masomo SUA FIRST NA SECOND DEGREE,Hapo ndipo tulipotezana kabisa. Mwenye kujua habari zake popote alipo pls anijuze hapa JF. Mie niko Ughaibuni kwa sasa hivi
 
atakua keshaolewa huyo, wewe vp bado?
 
Du! Kidogo umri utakuwa umesogea, na atakuwa mwalimu ngoja nitakushtua soon...
 
Namtafuta best friend wangu JESCA NAIMAN MOIRO kutoka Baraa,Mashono ,Moivaro Arusha, Tulisoma naye Tabora Girls miaka ya 1982-1986.

Na bado unamwita BEST FRIEND wako, acha wewe.
 
Jesca huyo namfaham alikua anakaa Baraa karibia na kanisa.KWA SASA WAMEHAMA WAMEHAMIA KWAO.Kwani hujui ameolewa na wamesha hamia kwao?
 
Jesca huyo namfaham alikua anakaa Baraa karibia na kanisa.KWA SASA WAMEHAMA WAMEHAMIA KWAO.Kwani hujui ameolewa na wamesha hamia kwao?

hajui ndo maana anamtafuta
 
Jesca huyo namfaham alikua anakaa Baraa karibia na kanisa.KWA SASA WAMEHAMA WAMEHAMIA KWAO.Kwani hujui ameolewa na wamesha hamia kwao?
kwao mbinguni? hili jibu limenichekesha sana.
 
Jesca huyo namfaham alikua anakaa Baraa karibia na kanisa.KWA SASA WAMEHAMA WAMEHAMIA KWAO.Kwani hujui ameolewa na wamesha hamia kwao?

Ngoe Jamani furaha yangu kubwa ni kujua jinsi ya kumpata.Anafanya kazi gani na wapi?Ameolewa na nani na wapi?Na sasa anaishi wapi?Ili nipate mawasiliano naye,Kwa vyovyote atakuwa ameolewa na atakuwa na watoto ndiyo ni mama mtu mzima kwani umri unasimama jamani!!!Wakati huo tulikuwa wasichana wadogo sasa unategemea wakati huu tunafananaje?.Ni muhimu hayo kuyajua pia?Nzidi kuwashukuru wanaJF kwa kunitanabahi zaidi.
 
ugaibuni ndio wapi huko? njoo tule matunda ya mtini huku uswaziiiiiiiii.........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…