Nahitaji rafiki wa kike
- Mkristo Mchamungu
- Mwelewa wa maisha na success oriented mind siyo wa kuridhika kuwa nyuma kimafanikio
- Age 25 - 30
- Atleat form 6
- Anayeishi DSM
Mi nina miaka 33, nina bachelor
Mwajiriwa kwa muda na nimejiajiri pia
Mengine tutaelezana
Tukielewa then marriage, yenye furaha i hope
Ni PM