Ona vijana wetu mnavyokosea hutaki rafiki wa kiume mwenzio ili akupe hayo ma experience ya maisha ?
Au unalenga ngono tu?
Mfano kuna kijana ana degree yake ya uchumi kwa sasa ana duka la kawaida na genge je hatoshi kukupatia experience ya maisha ?
Fikiri upya ulichoandika