Ndio maana sisi wengine tuliamua kupakimbiaTanzania kila mgonjwa wa akili ana followers Instagram..
Ndio maana sisi wengine tuliamua kupakimbia
Saana na. Ndio ma-role modelAmber Rutty
Mwaijaku
Rachael temu..
List ndefu
Unamuachache Da Mange kwenye list hii?Amber Rutty
Mwaijaku
Rachael temu..
List ndefu
Yaani huko tuendako basi tu.Halafu social media ni wauaji wakubwa wa future za taifa. Mtu kama Gigy,amber Lulu wapo verified kabisa. Wana followers zaidi ya million na wengi ni underage.Saana na. Ndio ma-role model
Wa vijana wa sasa ... Hili taifa litakuja kuzalisha kizazi cha ajabu sana hapo baadae trust me
HahahaUnamuachache Da Mange kwenye list hii?
Yaani huko tuendako basi tu.Halafu social media ni wauaji wakubwa wa future za taifa. Mtu kama Gigy,amber Lulu wapo verified kabisa. Wana followers zaidi ya million na wengi ni underage.
Hata mimi nlikutana nae Uingeleza miaka ya 80.Rachel Anderson Temu...........Nilikutana nae Marekani miaka ya 2000's,! my classmet shule ya msingi, nimemmiss sana
Aisee mtihani mkubwa sana huuYaani huko tuendako basi tu.Halafu social media ni wauaji wakubwa wa future za taifa. Mtu kama Gigy,amber Lulu wapo verified kabisa. Wana followers zaidi ya million na wengi ni underage.
mange anawavuruga watu na hawajui wamuweke category gani ni kama kiraka kila sehemu anafitUnamuachache Da Mange kwenye list hii?
haha umasikini mbaya sana . unajua kilichomkimbiza marekani ? toka 2001 niko MarekaniHata mimi nlikutana nae Uingeleza miaka ya 80.
Kila mtu aeleze uongo wake.
Hahahaaaaa.....πππTanzania kila mgonjwa wa akili ana followers Instagram..