Karibuni excellent training center kwa huduma ya QT na RESITERs,
Ada zetu ni nafuu sana na unalipa kidogo kidogo,
Pia tuna huduma ya tuition kwa masomo yote..
Wasiliana nasi 0718949610, 0692755311
Mwalimu kabla ya kuja tunaomba uturekebishie hiyo "Resiters" yako ili tunapokuja tujue kwamba sisi "Reseaters" tupo kwenye mikono salama. Au sio muingilishi ticha!!
Karibu: neno ambalo zimezoeleka kutumika kwenye lugha zetu za huduma kama hizi (fuatilia kwenye maeneo mengine) ndio hii japo neno sahihi lipo. Aidha, kuhusu huduma zetu ni bora na rafiki kwa kila mmoja mwenye nia ya kupata Elimu kwenye mfumo huu.
Masoma ninayo fundisha mimi Kiingereza hakimo.