Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
ila ngoma kali mkuu?Unga noma sana jamaa anakumbuka shuka kumesha kucha!
Ongeza yupo na jaydee sitaki kumbuka zamani(sitaki ota) hapo ilikuwa khatari sana mpiga debe akiwa na mzimuni family wacha kabisa ndugu umenikumbusha kitambo kidogo hiyo.Q-Chief ulikuwa Vizuri Sana ila Ngada ndio iliyokumaliza,Piga kazi utatusua tu maana wewe ni msanii,Nikikumbuka mipini uliyopiga chorus enzi hizo MPIGA DEBE,KAMA UNATAKA DEMU.Ukija kwenye Pini la I'm a Dreamer ni soo.
Aisee hiyo Pini Q-Chief aliua mbaya,Walaaniwe wazungu wa Unga,[HASHTAG]#Amani[/HASHTAG] kwa kaka voda milionea waambie wadogo zako waache poda wale mmea.Ongeza yupo na jaydee sitaki kumbuka zamani(sitaki ota) hapo ilikuwa khatari sana mpiga debe akiwa na mzimuni family wacha kabisa ndugu umenikumbusha kitambo kidogo hiyo.
Yaah! gari likiwaka na penye mlima break hakuna lazima utarajie mambo hayo sadali tena.Aisee hiyo Pini Q-Chief aliua mbaya,Walaaniwe wazungu wa Unga,[HASHTAG]#Amani[/HASHTAG] kwa kaka voda milionea waambie wadogo zako waache poda wale mmea.