Mambo vp wadau nina proxy servers kwa ajili ya free internet kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kuzitumia na kuziunganisha niweze ku access net please naomba shule ya hii kitu wazee.thank you