Proudly CHAGGA

lovebitelol

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
964
972
Aibu yao wale walikua wakitabiri wachaga hawataenda moshi mwaka huu. Wewe shinda vibarazani na umbea ukiongelea kabila lisilokuhusu, mara ukisema wapiga dili wamenyooshwa mara hawana hela ya kwenda kwao. Ambaye hana hela ni wewe unayeshinda kuongea badala ya kufanya kazi.
Foleni ya dar imehamia moshi jiulize kwa nini? Moshi tunakuja na hela tunazoo nenda kashtaki kokote. Woooooooooiiiii
 

Attachments

  • 1482562981991.jpg
    1482562981991.jpg
    54.7 KB · Views: 57
Ni maneno tu ya watu wanarejea kwenda vijijini kwao kusherekea na ndugu zao kama kawaida jana nimempeleka mshikaji stendi
tunakuta basi ziko nyomi
 
Back
Top Bottom