Nyumba inauzwa. Iko Bunju, Block No. 20, Plot No. 50. Kiwanja kimepimwa na kina hati, kiko kwenye Eneo la Mradi wa viwanja 20,000. Ukubwa wa kiwanja ni Mita za Mraba 1444 (Low Density)
Nyumba haijaisha kama inavyoonekana kwenye picha. Ina vyumba vitatu vya kulala, ambapo kimoja ni master, sebule ya kukaa, sebule ya chakula na Jiko. Eneo linafaa kwa makazi na biashara.
Kwa maelezo zaidi, bei na maelewano wasiliana na
benmlenga@gmail.com, simu 0755769291, 0655769291
View attachment 125648
Inavyoonekana kwa mbele.
View attachment 125649
Inavyoonekana kwa ubavuni.