mkuu,life time ya bulb yake ni masaa mangapi?yamesha2umika mangapi? Kwani tatizo kubwa la projector ni bulb,kwani huwa zina masaa ya kutumika,na bei za bulb inaweza ikazidi bei hiyo unayoiuzia,na haipatikani ovyo ovyo.
Have the various so different lamp life, so if you are serious buyer contact me and i will tell the available stock according to that time, the lamp life and lamp hours used. What else you would like to know? Thank you.
Tunaomba utuambie model za hizo projectors,unapokuwa unatuficha vitu vya kawaida kama hivi, tunapoteza imani kwa kiasi fulani kwako.pia unapoteza ile credibility ya kuwa serious seller.we need information before we take a step,and if your product is impressive why not disclosing it to us satisfactorily to attract us in reasonable sense.bila shaka umenielewa