Bei yake ngapi mkuu?
weka specifications zake (lumens ngapi, aspect ratio, resolution yake, n.k...)
ni mpya ama used? Kama used ni kwa muda gani (masaa)? Au
Imebakisha masaa mangapi ya taa yake?
punguza muda wa kujibujibu maswali yaleyale toka kwa watu tofauti tofauti kwenye pm.