Mkuu asante kwa taarifa naomba tuwekee
bei zako zinarange kuanzia wapi mpaka wapi?
kwa mfano magari uliyoyataja..
Pili naomba kujua usalama wa gari
la mteja,maana kitendo cha kuwapa
ufunguo wake ili mmtolee copy,
kinaweka usalama wa gari lake rehani
kwani mambo haya ya electronics
ni rahisi kunukuu baadhi ya data
na wenye nia ovu wanaweza kuzitumia vibaya
nitashukuru nikijibiwa.