mwalimu_wa_IT
Senior Member
- Nov 5, 2024
- 116
- 187
broother dont urging with me from this field aise doont najua na pia nafanya tech company aisee.. kotlin ni mzuri for mobile dev ila Java anapiga kote web systems na mobile na both languages nazijua mnoo java ni java systems zote za benki zinatumia javaKwa fact gani if you can't argue with fact your statement might be wrong jaribu kuja na fact how can iphone 15 be better than 16 or window 7 be better than window 11 it's a matter of thinking not just because your using Java bro go deep and do a research on Reddit you'll understand why Kotlin is better than Java though Kotlin is java
Ni kweli mkuu na agree ila currently Kotlin ni best kwenye mambo mengi kwanzia app development where ukija kwenye java currently ni high performance systems tu Ina create pia JavaScript ni nzuri hasa cross platform ila kwa native kolinbroother dont urging with me in this field aise doont najua na pia nafanya tech company aisee.. kotlin ni mzuri for mobile dev ila Javascript anapiga kote web systems na mobile na both languages nazijua mnoo java ni java systems zote za benki zinatumia java
Tusalimie kama developer kwa lugha yakkfuul stack developer nimeingia
print("Hellow World")Tusalimie kama developer kwa lugha yakk
python alikuja kwa ajili ya kumuangamiza php na java ila php alijitahidi ila bado baada ya php kuleta laravel na updated nyingi ikawa ina sapoti libraries kama react, vue na angular moja kwa moja.. na kutumia MVC modal yeye kaja na MTV which ni the same kabisa na laravel maana wote wanatumia ORM na pia java kashindwa tena sana react native Flutter wakati una built code zinakua converted to java na swift kwa kutumia xcode compiler so java atandelea kua bora sana springboot boot ni hatari mnooNi kweli mkuu na agree ila currently Kotlin ni best kwenye mambo mengi kwanzia app development where ukija kwenye java currently ni high performance systems tu Ina create pia JavaScript ni nzuri hasa cross platform ila kwa native kolin
mbona wapo wabongo wanapiga pesa kupitia issue izo tusiishi kwa kukariri wabongo wa miaka ya 60Hivi vitu na wabongo, ni kama mbingu na ardhi.
Niko vizuri sana una mradi wowote nikufanyie. Au unaweza nijaribu kwa aina yoyote niko hapavannilla Javascript unaifahamu vizuri?.. un uhakika na kwenye Java unafahamu kitu gani?
unafahamu frame ipi ya Javascript?Niko vizuri sana una mradi wowote nikufanyie. Au unaweza nijaribu kwa aina yoyote niko hapa
Hizo modern framework nazisikia sijazisoma. Vanilla javascript maana ake ni javascript core bila kutumia hizo modern framework. Nikisema niko vizuri kwenye vanilla javascript maana ake naweza kuandika kodi za ile javascript OG. concepts za functions, arrays, kutengeneza animations, kuweka image ukiclick kulia inabehave hivi na ukiclick kushoto inabehave hivi. Lakini pia nafahamu AJAX kwa ajili ya kuupdate webpage dynamically yaani bila kubonyeza reload button.unafahamu frame ipi ya Javascript?
hhhhhhhhNaona kuna watu wametengeneza ID mpya kuja kubishana. Ni nzuri mkitufundisha na sisi BURE, mkitaka tulipe ni bora nasi twende vyuoni tulipie ada za degree za IT kivyetu, nikulipe halafu sipati cheti, hapana.
Anza na HTML, CSS,Javascript then angular or react, kwa Django framework ni vizuri ukajua python kwanzajamani natak darasa la kujifunza django na angular css javascript html
kwa hyo wewe unafahamu DOM ? ajax ni kitu gani?Hizo modern framework nazisikia sijazisoma. Vanilla javascript maana ake ni javascript core bila kutumia hizo modern framework. Nikisema niko vizuri kwenye vanilla javascript maana ake naweza kuandika kodi za ile javascript OG. concepts za functions, arrays, kutengeneza animations, kuweka image ukiclick kulia inabehave hivi na ukiclick kushoto inabehave hivi. Lakini pia nafahamu AJAX kwa ajili ya kuupdate webpage dynamically yaani bila kubonyeza reload button.
Hizo modern frameworks kama angular na react sijazisoma bado nazisikia tu
Hapana mkuu, unaposema 'Product" hili ni suala tofauti kabisa.....Nitajie product moja ya microsoft iliyo anzishwa Kenya.
Kwani muwekezaji akiamua kuwekeza Mbeya badala ya Shinyanga, inamaanisha Mbeya ni Bora kuliko Shinyanga au mimi sielewi hoja?Mkuu in terms of software & Technology kwa ujumla tumeachwa mbali sana Microsoft, Facebook (Meta) wapo Kenya Tanzania is widely known kwanini wasiwekeze humu Cha kufahamu ni kwamba Tanzania in some factors kama Low Cyber crime tulirank mwaka Jana as the second country but ukweli ni kwamba Kenya, Rwanda, Uganda they are good than us nadhani kwa East Africa tupo namba nne au 5 maana Ethiopia nae yupo vizuri
Nitajie product moja ya microsoft iliyo anzishwa Kenya.