Ni mara ngapi umeme umekatika Muhongo akiwa waziri?au wewe unaishi Morogoro gani?ni nani alikuwa waziri siku ile hadi akiwa bungeni akaagiza wananchi wasikatiwe umeme ili waone bunge la escrow na bado umeme ukakatika pale pale bungeni pamoja na Tanzania yote?anyway let me be straight,matatizo ya umeme hayataisha hadi baba ritz aondoke madarakani na asifanikiwe kuweka mtu wake ikulu baada yake maana ni yeye anayeivuruga sekta ya nishati kutokana na maslahi aliyonayo huko.hawa akina Muhongo ni vidagaa tu.You are the one to make it happen.