Mtu kama wewe ambae hauna taarifa za mambo mengi ya nchi yako kuhusu kilimo huna moral authority ya kumshambulia na kumkosoa Prof. Kabudi kama ulivyofanya hapa.
FYI, aina ya Vanilla inayolimwa Madagascar ipo kwa wingi tu inalimwa mkoani Kagera. Hakuna haja ya kwenda kufuata mbegu za vanilla nchi nyingine.
Na vanilla kabila hiyo ndiyo bora zaidi duniani, inalimwa kwa wingi pia nchi jirani ya Uganda kiasi kwamba wanunuzi wakubwa wa vanilla ya Kagera wanatoka Uganda. Labda mshauri waziri wa kilimo akafanye hamasa ya miradi mikubwa ya kulima vanilla kibiashara zaidi kule Kagera. Ukitaka vanilla tuber cuttingskwa ajili ya mbegu wewe sema tukuuzie.
Pia watanzania wasiuze vanilla pods mbichi bali wafanye vanilla cure and vanillin extraction process hapa hapa nchini na kuuza bei ya soko la dunia.
Yes, Pemba wanalima, Kilimanjaro pia kuna watu wameanza kulima japo huko nahofia baridi inaweza kusababisha mazao duni.Pia Pemba, nilionea huko for the first time
Yes, Pemba wanalima, Kilimanjaro pia kuna watu wameanza kulima japo huko nahofia baridi inaweza kusababisha mazao duni.
Joto kiasi na ile baridi ya kivuli cha miti kama hali ya kitropikali, rutuba ya kutosha na mvua za kutosha.Zinahitaji joto? Nilihisi baridi ngoja nitafute mbegu nipeleke shambani kwangu Kibiti huko kuna mikorosho
Vanilla inalimwa mkoa wa Mbeya Kyela, mkoa wa Kagera na mkoa wa Morogoro, sasa wewe unataka vanilla ipi inayotibu Corona?Nchi ya Madagscar inasifika sana kwa ulimaji wa zao la vanilla. Zao hili linawaongezea kipato kikubwa sana raia wa Madagascar kwani kilo moja inafika karibu dola 600 za Kimarekani.
Nakumbuka sana Profesa Kabudi aliporudi na mitishamba ya Corona toka Madagascar kwa mbwembe nyingi sana na kulihutubia Taifa.
Alikusanya jopo la maprofesa na madaktari kwamba watashughulikia utafiti wa mitishamba hiyo toka Madagascar kama inatibu Corona.
Mpaka leo hakuna taarifa za matokeo ya uchunguzi huo. Kwa kifupi Mitishamba hiyo haitibu kwani Madagascar sasa hivi wanalia na maambukizi ya Corona.
Naomba Profesa Kabudu urudi tena Madagascar ukatuletee miche ya Vanilla ili wananchi tuinue kipato chetu, tutakukumbuka sana ukituletea miche ya vanilla.
Upo sahihi 100%.Hujui kama Kuna watu wanalima vanilla hko kagera na bukoba tena Kuna wakati wakulima ikifika karibia
Na kuvuna wanalinda mashamba yao kwa ulinzi mkali sna....
Wewe labda ungeishauri serikali iwasisitize na kuweka nguvu kubwa watu walime zao Hilo
Kwani hata mbeya, tukuyu, moro vijijini zao Hilo likilimwa linakubali
Nna ushahidi kna mtu alienda kijiji cha rubale na alichkua miche ya vanilla na alienda kujaribu kupanda tukuyu mbeya na ilikubali, jamaa alikuwa na plan ya kufanya mradi huo huko mbeya ila bahati mbaya jamaa alikujaga kufariki
Tatizo watz siyo watu wa kufatilia mambo na kutekeleza
We washauri serikali ikazanie watu walime vanila
Maana Kuna maeneo mengi inakubali
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Yeah, Nilisikia Morogoro pia wanalima vanilla.Vanilla inalimwa mkoa wa Mbeya Kyela, mkoa wa Kagera na mkoa wa Morogoro, sasa wewe unataka vanilla ipi inayotibu Corona?
Asante kwa kushiriki kuandika.
Kilomaja yake nasikia lakiMtu kama wewe ambae hauna taarifa za mambo mengi ya nchi yako kuhusu kilimo huna moral authority ya kumshambulia na kumkosoa Prof. Kabudi kama ulivyofanya hapa.
FYI, aina ya Vanilla inayolimwa Madagascar ipo kwa wingi tu inalimwa mkoani Kagera. Hakuna haja ya kwenda kufuata mbegu za vanilla nchi nyingine.
Na vanilla kabila hiyo ndiyo bora zaidi duniani, inalimwa kwa wingi pia nchi jirani ya Uganda kiasi kwamba wanunuzi wakubwa wa vanilla ya Kagera wanatoka Uganda. Labda mshauri waziri wa kilimo akafanye hamasa ya miradi mikubwa ya kulima vanilla kibiashara zaidi kule Kagera. Ukitaka vanilla tuber cuttings kwa ajili ya mbegu wewe sema tukuuzie.
Pia ungeshauri watanzania wasiuze vanilla pods mbichi bali wafanye vanilla cure and vanillin extraction process hapa hapa nchini na kuuza bei ya soko la dunia.
Hawajaanza leo, ni miaka mingi kama ilivyo Mbeya na Kagera.Yeah, Nilisikia Morogoro pia wanalima vanilla.
Miche ya Vanila imejaa SUA kibao karibu Morogoro SUA kupata miche Bora ya VanilaNchi ya Madagscar inasifika sana kwa ulimaji wa zao la vanilla. Zao hili linawaongezea kipato kikubwa sana raia wa Madagascar kwani kilo moja inafika karibu dola 600 za Kimarekani.
Nakumbuka sana Profesa Kabudi aliporudi na mitishamba ya Corona toka Madagascar kwa mbwembe nyingi sana na kulihutubia Taifa.
Alikusanya jopo la maprofesa na madaktari kwamba watashughulikia utafiti wa mitishamba hiyo toka Madagascar kama inatibu Corona.
Mpaka leo hakuna taarifa za matokeo ya uchunguzi huo. Kwa kifupi Mitishamba hiyo haitibu kwani Madagascar sasa hivi wanalia na maambukizi ya Corona.
Naomba Profesa Kabudu urudi tena Madagascar ukatuletee miche ya Vanilla ili wananchi tuinue kipato chetu, tutakukumbuka sana ukituletea miche ya vanilla.
Unahisi Tukuyu itakubali wakati inalimwa Kyela!Upo sahihi 100%.
Nahisi Tukuyu itakubali sana.
Sehemu za moro vijijini inakubaliYeah, Nilisikia Morogoro pia wanalima vanilla.
Vanilla imejaa kama yote Mkoa wa Kagera. Wilaya ya Bukoba Vijijini kuna Vanilla - inalimwa kwa wingi. Kama uko serious, wasiliana na Maruku Research Institute utapata.Nchi ya Madagscar inasifika sana kwa ulimaji wa zao la vanilla. Zao hili linawaongezea kipato kikubwa sana raia wa Madagascar kwani kilo moja inafika karibu dola 600 za Kimarekani.