Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

Ila watoa rushwa huwa wanaachwa kama mhe. Shaka,yule Mkuu wa manyara na yule na niii
 
Kwa taarifa yako hata Mandela alihukumiwa kosa la jinai kulingana na sheria za Africa ya Kusini. Sugu naye alihukumiwa kwa sheria hizi hizi kandamizi zikiwa na muelekeo wa kuwakomoa wanasiasa wa upinzani.

Prof Mwandosya yuko sahihi kabisa.
 
Mandela hakuvunja sharia za makaburu? Zero brain Like your Father
 
Sijui umeumia na nini sasa,? Maana umelalamika sana, sijui jinsia gani wewe?
 
Kila mwenye akili timamu ana elewa sugu alionewa.
Sio mpaka uwe Genius kutambua hilo.
 
Kutibiwa nje nchi siyo shida ni kodi zetu siyo za ccm fungu domo bwege wewe
 
Ulivyo na wivu ati mwandosya anatibiwa na serikali mara aliteuliwa na magufuli kuwa mlezi wa chuo.Kwa hiyo unataka kipara ngoto amfanye nini prof? Uzi umekaa kiwivu wivu.Kama hakufungwa kisiasa alifungwa kwa ajili gani? Alafu ulivyo muongo eti katoka kwa msamaha wa rais. Msamaha unasubili mfungwa abakishe siku 45 ndo useme kipara kamsahe Sugu?Wezi wa 1.5 wakubwa nyie tena mnaudhi watu.Uzi kama jina la mkoa anaotoka Huyo unaye mjadili hapa
 
Kumfunga mumfunge wenyewe leo mnaanza kulaumu watu wengine, THIS IS MBEYA BROTHER
 
Sema kosa lenyewe basi nasiye tujue.Kma ilifikia wakati hakimu anasema mbele ya Sugu kuwa kesi yake inampa wakati mgumu huwezi kujiuliza.Jiulize basi jk na uchafu wake wote hakuwahi kupiga kiasi hicho.Badala muulize 1.5 zilienda wp nyie mnakomaa na mwandosya na sugu
 
Mhhh kumbe hayo ndo matusi vilumumba vinakuja hapa kusema sugu alimtukana mzaliwa wa nzera geita na muamihaji wa chato? Ndo maana tukiwambia wasema hapa hayo matusi hawawezi kusema.Lumumba hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…