Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

Huyu Mzee nilikuwa namuheshimu sana kama msomi WA juu na taaluma yake ni ya kipekee. Lakini jinsi anavyoenda anazidi kushusha credibility yake mbele ya jamii. Siyo lazima u komment kila kitu. Kaa kimya mzee muda wako umeisha.
Inafurahisha kweli, mtu asiyejulikana hata na na jirani zake kumnyamazisha professor aliyefundisha ma degree kibao Tanzania na nnje ya nchi, kuto kumuheshimu wewe sio kosa wala dhambi hamna anaye heshimiwa na wote duniani, heshima yake itabaki pale pale kwa sehemu zote alizohudumu na alizo saidia hata kama Mimi na wewe tusipo muelewa au kumuheshimu.
 
Ulianza kwa point kubwa sana mkuu, ulikuja kuniacha tu et pale ulipoanza kusema .
"Anatibiwa na serikali ya magufuli", sijui ulitaka atibiwe na serikali ya nani maskini wakati kiongozi Wa serikali ni Raisi moja tu mwenye jukumu la kutoa matibabu kwa RAIA wake wote.
 
Mzee toka apokwe uenyekiti wa bodi sijamsikia kujikuna kuna siku mbili tatu hizi
 
Mzee Mwandosya ni kiongozi wa kuigwa
Kwani kusimamia ukweli ndio utu uliotukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…