Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji


Inategemea hadhi unayoiongelea ni kwenye macho ya watawala na vyombo vyao au WANANCHI
Pengine wenye hadhi ni wale wansoalikwa karamu za watawala
 
Inategemea hadhi unayoiongelea ni kwenye macho ya watawala na vyombo vyao au WANANCHI
Pengine wenye hadhi ni wale wansoalikwa karamu za watawala
La hasha naongelea WANANCH ndugu yangu.!
Ukiweza kuondoka Nje ya utando wa Msisimko wa Kisiasa ukafanya utafiti japo kidogo kwa wananchi juu ya viongozi waliowahi kuwa serikalini na sasa wako upinzani utaelewa nikizungumzacho..

(Japo kwa mtu aliyezoea kuwa katika utando wa kisiasa ni ngumu sana kutoka nje ya uzio wa kisiasa na kupata tafakuri )
 
Philemon Mikael
Well said
 
Wadau mwenye CV ya prof. Mwandosya atusaidie kuipandisha hapa.
 
......need to say more !
 
Ni uchambuzi wa kweli mkuu.
Mimi naenda mnali zaidi.
Huu umoja unaoonyeshwa na viongozi na wananchi wa Mbeya ni a natural protest stance.
CCM na serikali yake imekataa kuwejeza Mbeya ili ku absorb matumainibya vijana katika uchumi wa Mbeya ambao hauko chini.
Vijisenti vya kula vijana hawakosi, ila maendeleo endelevu hakuna.
Mtu akisha shiba unategemea afanye nini?

Nawasihi serikali na CCM yake, kuwatuma watu dizaini ya Polepole, wasio na upeo wa kuelewa tatizo ni kujipotezea muda.
Aje Kinana au Mangula aongee na wazee wampe njia za kutatua matatizo ya kijamii yanayotokana na ukosefu wa maendeleo Mbeya.
 
Wewe pia ni mpotoshaji,maana umeshindwa kujenga hoja kisayansi,pole sana na hizi fikra za mapokeo.
 
Akili za kushikiwa prof. Aliandika Sugu amefuzu chuo cha siasa, akimanisha ni siasa chanzo cha kashikashi za kufungwa na huwa mtu anajifunza kuwa jasiri zaidi kwa kupata kashikashi za hivi.
 
Na wewe huoni kwamba unashusha hadhi ya hicho chuo kwa kusema anakiuka ukada wenu kwahiyo hastahili kuwa mkuu wa chuo?
 
Jamani kuwa na mahaba na wapinzani ni kosa ?Ama kweli huko tunakoelekea sio kabisa.
 
Nafsihuwa inasuta ... si unajua ukiwa guilty, kila ukiona watu wanaongea, unafikiri wanakuongelea wewe, wakicheka unafikiri wanakucheka wewe, wakiimba unafikiri wanakuimba wewe .....!!
 
Huyu Mzee nilikuwa namuheshimu sana kama msomi WA juu na taaluma yake ni ya kipekee. Lakini jinsi anavyoenda anazidi kushusha credibility yake mbele ya jamii. Siyo lazima u komment kila kitu. Kaa kimya mzee muda wako umeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…