Prof. Mark james mwandosya

Kina Mwandosya walikuwa wanacheza game ambayo hawamjui refa anapenda timu gani.
 
Ccm imetenda maovu na hata akina mwandosya na mwakyembe india ikawanusuru uhai wao.wtz mnataka nn ccm?
 
Mwandosya, Lowassa, Bilal, Wasira, Makongoro na Bihole hawa majina yao hata hayakwenda CC, yaliondolewa na Kamati ya Maadili na Usalama.
 
...kwani anashare ccm ? wenyewe hawamtaki asijipendekeze....
 
Kuna mtu kanitumia picha kwamba tano bora imetoka, ni kweli?
 
hana makundi, mwadilifu, historia inambeba kiutendaji
 
Kuna mtu kanitumia picha kwamba tano bora imetoka, ni kweli?

Mkuu watu wamekesha humu kama man pakiyao Vs man money kusibori tano mbovu wee umelala, prof ashafanya yake kabla jogoo halijawika
 
kila wizara aliofanyia kaz imekua na mafanikio labda kama hujawah mchek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…