Zali la mentali
Dada habari samahani naomba niulize swali🎶
Akajibu, "Maskini koma tafadhali hii ngoma ya gari"🎶
"Ehee unajua dada?", "We vipi hebu nipishe"🎶
"Dada mbona mkali", "We kinyago kubali yaishe"🎶
Nikasema inshallah hiyo yote sababu fukara🎶
Nisije nikakubaka nitupwe selo nikawe kafara🎶
Nikaachana nae sehemu za nyuma akizitingisha🎶
Nilikula kwa macho hadhi yangu haikuridhisha🎶