Producers wa sasa uchwara, nipe wimbo wowote unaosokilozika vizuri (mixing) kama hii ya P Funk

Binafdi siamini kama hilo biti katengeneza mwenyewe bila kukopi.

Laizer mabiti yake ORIGINAL ni yale yenye kelele kama hili.

🀣🀣🀣🀣🀣🀣 huenda kuna namna mkuu, kiukweli Laizer ni mzee wa beat za kuchakaza ngoma ya sikio. Sasa ile hallelujah usikute kaweka Tag tu.
 
Ni kweli hujasema mkuu ila angalia mtu uliyemquote alikuwa anaongelea hoja gani?

Alafu mkuu kama ulikuwa hauna Tatzo na sampling mbona umetumia Neno "ugoro" kwenye andiko lako?
Hilo neno Ugoro lilikua limeandikwa na jamaa niliyem-quote mkuu ndio maana nikaweka " " mkuu.
 
Sikupingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…