Problem: laptop fleckering (blinking)

Changed ID

Member
Joined
Aug 5, 2018
Posts
79
Reaction score
69
Hello wanateknolojia habarini!!!!..Samahanini naomba mwenye kujua tatizo ni nini kwenye laptop yangu aina hp na ina windows 10 system anishauri cha kufanya, kama ni kufanya mwenyewe au kupeleka kwa fundi.Kwa hali isiyo ya kawaida imeanza kukapua kila muda kiasi ambacho siwezi kufanya jambo lolote kwenye laptop hiyo.

Ningependa kujua chanzo cha tatizo huwa ni nini ili hata siku nyingine,niwe makini juu ya hilo.

Karibuni na asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…