Prison Break inaendelea..

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,690
Reaction score
2,853
Wanabodi,

Ile series ya kibabe "Prison Break" inaendelea pale ilipoishia..

Link analetewa habari na Tbag kuwa Michael hakufa bali ulichezwa mchezo ikawekwa maiti bandia, na Michael akapelekwa gerezani nje ya Marekani.

Utamu, unaanzia hapo.... Link akawakusanya washkaji kina Sucre etc kwenda kumtolosha Michael.

Ni bonge la Series... Kuanza kuoneshwa na Fox this April 2017.

Wazee wa kudownload tukae mkao wa kula.

Link ya trela hiyo hapo down.



 
I can't wait
 
Imeshavunja Record kwa sasa series inayosubiriwa kwa hamu na watu wengi Kwahiyo watuletee tunachokitalajia kuwa kizuri.
 
Tumeisubiria kwa hamu
 
Daaah... Dr Sarah Tancredi si alishaanua tanga?
 
duniani series ni moja tu pb wengine wanakula hela tu
 
jamaa alivyojitambulisha kama shoga, uhondo wa series hii ukapotea, sasa naona tunalazimishwa kuwakubali mashoga katika jamii yetu.
 
Mimi nlikuwa najua utakuwa playback Kabla ya kifo cha Michael nini kiliendelea manana series iliishia after 4years
 
Ntaendelea kusoma tamthilia ya Ngoswe mkiangalia mashoga wanavyo banduana kwenye prison break
 
Ushoga umeharibu sana utamu wa Prison break
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…