Printing Solution

WALL CALENDARS
▫️ Single Page type
▫️ Available in
▫️ A3 Size
▫️ A2 Size
Tuko tayari kuwahudumia kwa uhakika na Uharaka zaidi.

Contact: 0759413270
 
Nimewahi kuagiza mabango ya matangazo ya biashara mara kadhaa hasa pale nilipokua na promosheni ya haraka isiyokuwa kwenye mpango tangu mwanzo. Kinachonisaidia ni kupata printing ambayo si tu inatoa kazi nzuri bali pia wanamaliza haraka na wanatoza bei ambayo haijavuruga bajeti ya biashara. Mara nyingi huwa nataka banner ionekane vizuri na idumu hata baada ya tukio, na kuna wakati nilikosa deadline ya soko kwa sababu printer alichelewesha. Kuanzia hapo, nilianza kutafuta printers ambao ni fasta na wana bei rahisi.

Kulingana na uzoefu wangu, kwa siku hizi nikiwa na event ya haraka au matangazo ya biashara, huwa natafuta wale wanaotoa huduma za haraka kama 1DayBanner. Ukihitaji banner kwa haraka sana na ya uhakika, hizi huduma zimekuwa msaada kwangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…