Printing Project inauzwa bei chee!

Ndg.MWASALEMBA.

Senior Member
Joined
Dec 18, 2013
Posts
141
Reaction score
280
Habari wa ndugu!

Baada ya kumaliza kazi yake lengwa sasa nauza hivi vifaa, ni mradi ambao mnunuaji ataanza kufanya kazi mbali mbali on spot! Ni vyombo vipya vimetumika mwezi mmoja tu wakati wa kampeni.

1.Heat press machine kubwa (40*50cm/220V).

2.HP color laser jet printer (ina wino).

3.Plastic sealer .

4.Paper cutter .

5.Transfer papers (800 papers) - materials .

Bei kwa vyote ni 3.2M, vipo Dar es Salaam, mawasiliano ni 0713430630.

Picha hizi hapa.
 

Attachments

  • 1446269393677.jpg
    27.5 KB · Views: 157
  • 1446269406497.jpg
    32.5 KB · Views: 137
  • 1446269418997.jpg
    42.3 KB · Views: 133
  • 1446269430877.jpg
    32.8 KB · Views: 122
  • 1446269445217.jpg
    37 KB · Views: 114
  • 1446269457307.jpg
    23.7 KB · Views: 118
  • 1446269470507.jpg
    34.8 KB · Views: 124

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…