Steshenari ya bei chee Buza kanisani, njoo ujipatie mahitaji haya

giningimtoto

Member
Apr 20, 2017
42
42
steshenari ya bei chee buza kanisani
steshenari ya bei chee buza kanisani
wakazi wa maeneo ya buza kanisani tumewasogezea huduma
karibuni
‘GININGI MOJA BEI RAHISI STATIONARY’
PATA HUDUMA ZIFUATAZO KWA BEI CHEE KABISA:-
• PRINTING - Black and White 200/=
Za rangi- 400/=
TUNAPRINT BUSINESS CARDS – 100 KWA SHILINGI 15000/= TU
• INTERNET - 300 (Dakika 10)
500-(NUSU SAA) na
800- (saa 1)
• LAMINATION - 1000/= A4
500/=A5
• BINDING ZA VITABU NA PAMFLETS MBALI MBALI
• PHOTOCOPIES - Black and white- 50
- Za rangi (colored) - 200
• VITABU
• PATA VITABU VYA SHULE NGAZI MBALI MBALI
- SECONDARY, PRIMARY, NURSERY.

• PIA PATA MATERIALS YA SECONDARY NA PRIMARY

-PAST PEPARS, PAMPHLETS, TUFE ZA KUSOMEA GEOGRAPHY, N.K

PIA TUNASAFISHA:-
• PICHA ZA KWENYE SIMU – BEI TSH. 700/=
• TUNAPIGA NA KUKUZA PICHA ZA ZAMANI – 1000/= (5x7)

• TUNAPIGA NA KUWEKA FREMU PICHA UKUBWA MBALI MBALI

A 4, A2, 5 X7, N.K KWA BEI NAFUU KULINGANA NA UKUBWA WA FREMU

• TUNAPIGA PASSPORT SIZE 8 – 2500/=

MABANGO
• TUNATENGENEZA NA KUCHAPA MABANGO NA MATANGAZO MBALIMBALI YA YA BIASHARA, VITAMBULISHO, BROSHURES, FLYERS, NA VIPEPERUSHI MBALI MBALI.

• TUNAPRINT- T SHIRTS, JEZI, LESO NAKADHALIKA

TUTION

• TUNAFUNDISHA ‘TUTION’ PROGRAM MBALI MBALI ZA COMPUTER

• TUNAFUNDISHA ‘TUTION’ ZA PROGRAM ZA DESIGNING

-MS PUBLISHERS, PHOTOSHOP,

-ILLUSTRATOR, CORAL DRAW,

-INDESIGN NA ADOBE PAGE MAKER

• TUNAFUNDISHA ‘TUTION’ JINSI YA KUTUMIA “INTERNET”

TUNATENGENEZA

• KOMPYUTA

• PRINTERS

• PHOTOCOPIES MASHINE

• FUNDI UMEME PIA YUPO

WAPI?- MAHALI NI BUZA KANISANI.

-TUPO KATIKATI YA BUZA KANISANI NA TANESCO- OFISI IPO OPPOSITE (MKABALA-TUNATIZAMANA) NA SHULE YA MSINGI BRAIN TRUST (KWA MAKINDA)

WASILIANA NASI AU TUTAFUTE KATIKA:

SIMU: 0713 487 473

0621 257 158

0719 807 755

Au tuma barua pepe kwenda-giningimoja@gmail.com
au follow instagram page yetu- giningimoja@instagram
na facebook: Giningi Buza@facebook
 

Attachments

  • gingingi pic 1.jpg
    gingingi pic 1.jpg
    51 KB · Views: 54
  • giningi%20bango.pdf.png
    giningi%20bango.pdf.png
    94.7 KB · Views: 84
Upo serious na kazi yako na umejipanga mno lazima utapata wateja
Kuna watu wengine matangazo yao humu wanaletaga kama ni mnunuzi akati ni muuzaji
 
Kuprint black and white 200? na rangi 400...?
Huku nilipo tunaprint kwa 50-70/=
na photocopy 25-40/=
 
Pole sana Mkuu, kigamboni pale ferry bei zipo hivi.
...Kuprint Black and white Sh.70
...Copy ni Sh.30, mbele na nyuma Sh.50
...Business Card ni kama wewe tu kwa 15,000
...Lamination napo ni 1,000 ila naamini sasa hivi watakuwa wamepunguza pamoja na Binding.
 
nashukuru sana wadau.
ila ni vyema ushauri kama wa huyo jamaa aliyesema kuhusu kigamboni angenipa kupitia inbox maana kuna sababu nyingi za kuweka bei hiyo. kwanza, mzunguko wa watu katika eneo ambalo mtu upo. maana kama sehemu ni watu wengi bei ikiwa kama hiyo ya kigamboni then kuna idadi kubwa ya wateja bado inalipa lakini kuna maeneo mengine watoaji kopies na wanaoprint siyo wengi that is why tunaweka bei hiyo. hata hivyo ni ushauri mzuri. Mimi lengo langu ni kwa wale wanaokaa buza kanisani maana nimewasogezea huduma.
 
nashukuru sana wadau.
ila ni vyema ushauri kama wa huyo jamaa aliyesema kuhusu kigamboni angenipa kupitia inbox maana kuna sababu nyingi za kuweka bei hiyo. kwanza, mzunguko wa watu katika eneo ambalo mtu upo. maana kama sehemu ni watu wengi bei ikiwa kama hiyo ya kigamboni then kuna idadi kubwa ya wateja bado inalipa lakini kuna maeneo mengine watoaji kopies na wanaoprint siyo wengi that is why tunaweka bei hiyo. hata hivyo ni ushauri mzuri. Mimi lengo langu ni kwa wale wanaokaa buza kanisani maana nimewasogezea huduma.
Tangazo lijalo, hapo kwenye tution weka tuition
 
Back
Top Bottom