Prince William Hugs Someone in Kenya

'Princes' William alicheza mpira Kenya..........

Bora hata angeleta hii ya kucheza,kukumbatia mkenya sio habari ya kujivunia.

Yote hakuna tofauti na nyie kutuambia kwamba nchi yote mlishangaa kwa kuona William akisema 'jambo' kwa Kiswahili, hehehe yaani Afrika patamu.
 
Mwanaume mwenzio hawezi kumbatiwa unafurahi kutuarifu.we mkenya una matatizo gani???
 
Ukiona unataarifiwa habari za ovyo ujue anayekutaarifu kakuona ovyo hivyo inabidi akushushie kwenye level yako ya ovyo.
 
Basi tumeona mkey akihagiwa,amewakilisha wanaume wote kenya,kakumbatiwa kwa niaba yenu[emoji41][emoji41][emoji41].
 
Afu wewe mawazo yako yanafanana na avatar yako, yaani hata signature yako imekaa kizushi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…