π’
FURSA YA KIPEKEE YA UWEKEZAJI β COMMERCIAL PLOT YA KIBIASHARA KINONDONI π
Unatafuta eneo lenye uwezo mkubwa wa kukuza biashara na kupata returns nzuri?
Hii ni nafasi yako ya kumiliki
Commercial Plot yenye hati halali katika eneo linalokua kwa kasi kibiashara.
π
Eneo: Nyakasangwe, Kinondoni District
π
Ukubwa: 2,530 SQM
π
Matumizi: Commercial (Retail & Wholesale)
π°
Bei: Kuanzia
TSh 350,000,000/= (Mazungumzo yapo)
β
Eneo linafaa kwa miradi mikubwa kama:
π¬ Shopping Plaza
π Warehouse ya biashara
β½ Petrol Station
π Supermarket
π’ Office + Retail Mix
π Distribution Hub
Plot ipo kwenye eneo lenye
movement kubwa ya watu, biashara zinazokua na potential kubwa ya ongezeko la thamani ya ardhi kwa uwekezaji wa muda mrefu.
π
NAMNA YA KUFIKA β COMMERCIAL PLOT
π
Kwa usafiri wa umma:
- Shuka Tegeta Kibaoni
- Nenda karibu na Sheli ya Camel Oil kwenye njiapanda ya Wazo
- Pembeni ya sheli kuna bajaji zinazoelekea maeneo kama Mivumoni, Msigani na Madale
- Panda bajaji ya Msigani (TSh 2,000/=)
- Shuka kituo cha Kwa Mathias kabla ya Msigani Center
- Kuna T-Junction
- Fuata njia ya Mahakama ya Mwanzo ya Wazo
- Kutoka kituoni hadi plot ni takribani mita 400
- Kutoka plot hadi Mahakamani ni takribani mita 150
π
Kwa usafiri binafsi:
- Ukiwa umetokea upande wa Goba au Madale, pita njia ya Madale hadi kufika kituo cha Flamingo baada ya Zahanati
- Utaona njia inayoingia kuelekea eneo la plot
- Ukiwa umetokea upande wa Wazo, baada ya kituo cha Usalama (Madale Polisi Station) utaona njia inayojengwa kwa kiwango cha lami
- Ingia kwenye hiyo njia na ifuate moja kwa moja
- Utafika kwenye T-Junction ya Kwa Mathias
- Usikate kona, endelea mbele kidogo kuelekea Mahakamani
- Kabla hujafika Mahakamani utakuwa umefika kwenye eneo la plot
π‘
PIA ZIPO RESIDENTIAL PLOTS MBILI KINONDO
Plot zote zimeungana na zina hati ya Wizara:
1οΈβ£
Residential Plot β 831 SQM
π° Bei:
TSh 25,000,000/= (Mazungumzo yapo)
2οΈβ£
Residential Plot β 785 SQM
π° Bei:
TSh 25,000,000/= (Mazungumzo yapo)
π
Namna ya kufika Kinondo:
- Shuka kituo cha Bunju A
- Kutoka Bunju A hadi eneo la plots ni takribani TSh 2,000/= kwa bodaboda
π₯
Usikose nafasi hii ya kumiliki ardhi yenye thamani na nafasi kubwa ya biashara na uwekezaji.
π Kwa maelezo zaidi, kuona eneo au kufanya mazungumzo ya bei β wasiliana nami: 0783 966839 call/WhatsApp au email:
gtumaini2010@gmail.com . Karibu sana!