Mtoto wa kijiji
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 319
- 185
Yani jamaa wanajifia taratibu, nna wana wawili hawajalipwa mwaka wa 3 Sasa, na jamaa hawaelewi itasomeka liniKwa nini pride wanatufanyia haya?
Kwa muda sasa pride hapa arusha wamekua hawatoi mikopo.kila siku tunafuatilia akiba zetu lakini ni maneno tu.leo tumeenda wamesema eti turudi baada ya miaka 3.hizi ni dharau za hali ya juu.tupo tunaelekea kwa mkuu wa mkoa mrisho gambo tujue hatma yetu.hadi kieleweke...popote alipo rais wetu mpendwa Magufuli atusaidie.nawakilisha...