zile picha kwa facebook page ya uhuru ni muhimu sana kwa wakenya kujua kila jambo muhimu ambalo rais anafanya kwa siku... aeke team nyengine mbio mbio bila kupoteza muda...
hata mi naona inafaa bunge lipitishe sheria ya kulazimisha kila rais wa kenya awe anaweka picha/video/text mtandaoni ili kujilisha wakenya nini kinaendelea kila siku ya kazi.... ni muhimu sana for accountability na pia the right to information