africa wake up plz!, lazma tutengeze rules za kulinda soko la ndan na kukuza sector ya viwanda ili tucompete free market,la sivyo kwa mipango hii ya obama tutabak consumers wa bidhaa na huduma kutoka nje. kama soko la ndan la marekan n only 5%, 95% unadhan n wap kama c africa, lets unite to protect our market