africa bana tupigwe bomu tupoteee wote afu wahamie watu wengine lakini cyo sie tuliopo haiwezekani kutubadilisha'tumeshapotea''mi nakwambia kuna watu hapa wanajiita wasomi wape project ya 1$ million lazima ataiba nusu nusu afanyie mradi''mi sishangai huku nyumbani kwetu ndivyo kulivyo'