Hajawah vimba miguu wala usoKama havimbi miguu na mkojo hauna protini Haina shida kabixa
Pressure ya 120/80 Kwa MTU mzima Ipo Kwenye makaratasi tu. Siyo Mwilini.Habar wakuu presha ya kawaida kwa mjamzito miez 8 huwa inacheza ngap kitaalamu
Mke wang amefanya clinic zahanat hapo hivi sasa ana miez 8 ya ujauzito presha yake inacheza 135 kwa 88 baadae imekuwa 131kwa 85 leo
Sasa jana kuna doc tumemkuta pale kamwambia hii ni hatar sana anaweza pata kifafa cha mimba
Naomba kuuliza kuna mtu dunian presha yake inaganda 120 kwa 80 tu na je hal alonayo n ya hatar na yeye hana dalil za presha kama kichwa kuuma...kizunguzungu
Huyu n mjamzito presha alipimwa iko 135kwa 88 na hapo alipimwa baada ya kusafir umbal kidg na hawakumpa mda wa kupumzika...dalil za presha hana..nmeshangaa huyu doc why anasema n hatar sana inamaan mjamzito presha yake inapaswa kuwa 120 kwa 80 tu mpk kusema anaweza kupata kifafa cha mimbaPressure ya 120/80 Kwa MTU mzima Ipo Kwenye makaratasi tu. Siyo Mwilini.
Pole mkuu..Habar wakuu presha ya kawaida kwa mjamzito miez 8 huwa inacheza ngap kitaalamu
Mke wang amefanya clinic zahanat hapo hivi sasa ana miez 8 ya ujauzito presha yake inacheza 135 kwa 88 baadae imekuwa 131kwa 85 leo
Sasa jana kuna doc tumemkuta pale kamwambia hii ni hatar sana anaweza pata kifafa cha mimba
Naomba kuuliza kuna mtu dunian presha yake inaganda 120 kwa 80 tu na je hal alonayo n ya hatar na yeye hana dalil za presha kama kichwa kuuma...kizunguzungu
sawa doctorPole mkuu..
Pressure yake kawaida huwa ni ngapi?
Hana tatizo la pressure na hayumo kwenye dawa?
Wajawazito wanaweza kupata hali ya kuongezeka kwa pressure tofauti na kipindi kabla ya kuwa na ujauzito.
Pressure yake kama haijafika 140/90 na haijawai kuzidi 160/110..
Hana kizunguzungu, tumbo haliumi, havimbi miguu wala kupata maruweruwe, haumwi na kichwa, basi hakuna tatizo.
Ni vyema mngemuuliza huyo aliye mwambia kuwa presure yake ipo katika hatari kwanini alisema ivo??
Mjamzito anatakiwa apimwe presure akiwa katika hali ya utulivu na katika eneo sahihi ili kuleta majibu yanayostahili, na kama itaonesha presure yake imezidi 140/90 kwa kipimo cha kwanza basi anatakiwa arudie kupima baada ya masaa 4, ili kuconfirm kama ni hypertension in pregnancy.
Miguu huwa haivimbi wala kichwa kuuma wala kuona maruweruwe....jana tulitoka umbal mrefu kidg mpk hapo hospital na hakutulia wakampima ikawa 135kwa 88 ...tukakaa kidg kama lisaa hivi kwenda huku na kule doc wakampima akakuta 145 kwa 91 ......ndipo akasema n hatar sana amuangalie siku 2 kama vip amuwekee uchungu....ila jion alirud akatulia akapima ikawa 131 kwa 81 ...so doc huyu mwingine akasema hana ttzo la presha io ni kawaida kabisa kwa hal yake ....asubh leo akapima ni 134 kwa 77 na usiku mida hii ni 131 kwa 85 .......Sasa nkataka ushaur zaid wa kitaalamu maan mbal na hospital hii atayojifungulia kusema n hatar ila sehem zingine wakimchk wanasema hana ttzo na dalil za presha hajawah kuwa nazoPole mkuu..
Pressure yake kawaida huwa ni ngapi?
Hana tatizo la pressure na hayumo kwenye dawa?
Wajawazito wanaweza kupata hali ya kuongezeka kwa pressure tofauti na kipindi kabla ya kuwa na ujauzito.
Pressure yake kama haijafika 140/90 na haijawai kuzidi 160/110..
Hana kizunguzungu, tumbo haliumi, havimbi miguu wala kupata maruweruwe, haumwi na kichwa, basi hakuna tatizo.
Ni vyema mngemuuliza huyo aliye mwambia kuwa presure yake ipo katika hatari kwanini alisema ivo??
Mjamzito anatakiwa apimwe presure akiwa katika hali ya utulivu na katika eneo sahihi ili kuleta majibu yanayostahili, na kama itaonesha presure yake imezidi 140/90 kwa kipimo cha kwanza basi anatakiwa arudie kupima baada ya masaa 4, ili kuconfirm kama ni hypertension in pregnancy.
Sio ubishi n kuelekezana na nlienda hospital nyingine wakasema kuwa hana presha na hawawez muanzishia dawa sabb hana ttz hilo na ni kawaida kwa hal yake wakasema amepimw kwenye mazingira sio sahihi...Sasa nlitaka nipate elimu zaidAcha Ubishi...Wewe Sio Daktari.!
Unaweza kupoteza mama na mtoto ujue.!
Majuto huwa ni mjukuu....
Unaona sasa hukusema kama alikua na 145/91.. May be gestational hypertension.Miguu huwa haivimbi wala kichwa kuuma wala kuona maruweruwe....jana tulitoka umbal mrefu kidg mpk hapo hospital na hakutulia wakampima ikawa 135kwa 88 ...tukakaa kidg kama lisaa hivi kwenda huku na kule doc wakampima akakuta 145 kwa 91 ......ndipo akasema n hatar sana amuangalie siku 2 kama vip amuwekee uchungu....ila jion alirud akatulia akapima ikawa 131 kwa 81 ...so doc huyu mwingine akasema hana ttzo la presha io ni kawaida kabisa kwa hal yake ....asubh leo akapima ni 134 kwa 77 na usiku mida hii ni 131 kwa 85 .......Sasa nkataka ushaur zaid wa kitaalamu maan mbal na hospital hii atayojifungulia kusema n hatar ila sehem zingine wakimchk wanasema hana ttzo na dalil za presha hajawah kuwa nazo
em jipige kifuani mara tatu useme mimi ni kidume unamjal sana mkeoMiguu huwa haivimbi wala kichwa kuuma wala kuona maruweruwe....jana tulitoka umbal mrefu kidg mpk hapo hospital na hakutulia wakampima ikawa 135kwa 88 ...tukakaa kidg kama lisaa hivi kwenda huku na kule doc wakampima akakuta 145 kwa 91 ......ndipo akasema n hatar sana amuangalie siku 2 kama vip amuwekee uchungu....ila jion alirud akatulia akapima ikawa 131 kwa 81 ...so doc huyu mwingine akasema hana ttzo la presha io ni kawaida kabisa kwa hal yake ....asubh leo akapima ni 134 kwa 77 na usiku mida hii ni 131 kwa 85 .......Sasa nkataka ushaur zaid wa kitaalamu maan mbal na hospital hii atayojifungulia kusema n hatar ila sehem zingine wakimchk wanasema hana ttzo na dalil za presha hajawah kuwa nazo
Sawa tunajitahid kupima asubuh na jion maana huyu doc mwingine alisema haina haja sasa kutumia vidonge kushusha presha alihofia asije kumshusha maan alisema si mbaya sanaUnaona sasa hukusema kama alikua na 145/91.. May be gestational hypertension.
Chakushauri ndugu endeleeni kuangalia pressure yake na urine kama hana protein au thrombocytopenia, kama daktari wake alivyosema na kama mpo karibu na kituo cha afya, au pharmacy anaweza kucheki presure kila baada ya masaa 4 kuangalia hali yake na ya mtoto pia.
Daktari wake ndie anajua maendeleo yake kwaivo atachofanya ni kwa ajili ya kumuokoa mama na mtoto.[emoji106]
Mama mjamzito katika hicho kipindi amefikia hali yake inaweza kubadilika muda wowote kwaio be calm na usichukulie poa.
Sawaem jipige kifuani mara tatu useme mimi ni kidume unamjal sana mkeo
kama uzito unaongezeka kila akienda clinic ni kawaida hutokea muhim apime mkojo muangalie protin apunguze chumvi
Sasa hapo ndipo bado natatizika inatakiwa isizid ngap kwa hal yake hivi sasa maan toka juz inakuwa 131 134 haijafika 140 je nikiona imefika ngap nijue hal s shwar kwake yey maan hapa kituo kingine cha afya wananiambia yuko sawa s mbaya ...naomba ushaur wako mkuu ili kuepusha madhara kwa presha hio aanze dawa za presha maan bado masiku kadhaa tu ajifungueUnaona sasa hukusema kama alikua na 145/91.. May be gestational hypertension.
Chakushauri ndugu endeleeni kuangalia pressure yake na urine kama hana protein au thrombocytopenia, kama daktari wake alivyosema na kama mpo karibu na kituo cha afya, au pharmacy anaweza kucheki presure kila baada ya masaa 4 kuangalia hali yake na ya mtoto pia.
Daktari wake ndie anajua maendeleo yake kwaivo atachofanya ni kwa ajili ya kumuokoa mama na mtoto.[emoji106]
Mama mjamzito katika hicho kipindi amefikia hali yake inaweza kubadilika muda wowote kwaio be calm na usichukulie poa.
Shida sio kuwa mbishi na sio kila kitu unachoambiwa kina ukweli Hadi ukifuate!Acha Ubishi...Wewe Sio Daktari.!
Unaweza kupoteza mama na mtoto ujue.!
Majuto huwa ni mjukuu....
Shukran kwa mchangoShida sio kuwa mbishi na sio kila kitu unachoambiwa kina ukweli Hadi ukifuate!
By the way, presha hyo sio kubwa kusema kupata kifafa Cha mimba
Afadhal ingekua kuanzia 140/90 huko
Though mama ajitahid tu kufanya mazoezi
Hapo ndo umenena mkuuPole mkuu..