Precision Air yapata hasara Sh 12.1 bil

precision walikuwa kwenye misukosuko toka kitambo au tuseme ni style yao kujidai wako kwenye misukosuko.
 
Auae kwa upanga atakufa kwa upanga, hawa si ndiyo walichangia sana kuifukia ATCL kwa kumtumia kigogo mmoja wa serikali aliyekuwa mwanahisa kwenye hiyo kampuni(Precision)?
Basil Pesambili Mramba
 
Kwa vile zilianza bilioni 30 baadae zikashuka 12 wacha waendelee zitashuka mpaka kutakuwa hakuna hasara.
 
Auae kwa upanga atakufa kwa upanga, hawa si ndiyo walichangia sana kuifukia ATCL kwa kumtumia kigogo mmoja wa serikali aliyekuwa mwanahisa kwenye hiyo kampuni(Precision)?

Hiyo habari ni hisia tu na hakuna uthibitisho wowote, ATCL ilikwama kwa yenyewe kukosa ufanisi na hakuna kutafuta mchawi, mchawi ni wao wenyewe. Africa ndio mahali pekee unafanya uzembe halafu unasingizia jirani kakuloga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…