Jembe la kazi hili kaka, japo haujasema bei.
Unaweza kuitupia hapa pia: http://www.facebook.com/groups/cardeals.tz/
Like page kisha tupia tangazo ukutane na wadau kibao wa magari.
Seriously!!!?? mil.33 kwa mileage yote hiyo..once gari ikifikisha zaidi ya km100,000 imeshachoka sasa km130,000 itakufa siku si nyingi...Unauza gari au unauza jina??? Gari ya 2002 kwa bei hiyo sidhani kama utakuwa unamtendea haki mnunuaji! Good luck with that anyways.