Prado for sale

Disuma

Member
Joined
May 23, 2014
Posts
62
Reaction score
19
Land cruiser Prado Tx
2003-2004
115,000kms
Automatic
Petrol engine 3rz
Pirelli new tires
Dark grey
Sports rims
Dvd screens(3)
33milion shillings only
No scratch and very well maintained
Pls Call or whatsapp or text 0652744408
for any information
 
Mileage ni 115107 & no accident record
 
Kwanini unauza hiyo gari ....... ??

Ukinipa sababu ya msingi nikaielewa nitakupa 35 milioni.
 
Petrol au Diesel,
Documents halali zipo..??kama vile bill of lading,Approved TANSAD forms,receipt za malipo ya ushuhuru nk nk
 
Kwanini unauza hiyo gari ....... ??

Ukinipa sababu ya msingi nikaielewa nitakupa 35 milioni.

Nmetamani kununua model ya mbele yake ila kwa gari hii bado iko bomba sana
 
mkuu inamaana hujui kuwa vyuma vimekaza, kama vipi kaliuze congo maana bwana yule ametufanya wote tuwe mashetani
 
Yaani tokea gari iundwe mwaka 2004 kilometa ilizotembea ni aki moja na elfu arobaini na tisa tu?
Kweli??
 
Yaani tokea gari iundwe mwaka 2004 kilometa ilizotembea ni aki moja na elfu arobaini na tisa tu?
Kweli??

Boss ni km115,000s tu nmerekebisa kwenye comment. Inshort gari bado ni nzuri sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…