itafikia muda wakulima wataagiza wenyewe china...hayo matakataka ukinunua china hayazidi 2.5M tsh usafiri hata milioni haifiki....ila mnakuja kutupiga bei mpk 7-9M tena bila ya tela. Wakati kwa pesa hiyo napata kila kitu kuanzia tela mpk impliments zake zote ambazo nyinyi huwa hamzitoi
Naziona made in China 600 usd kama unagiza kuanzia mojaUnaagizia Mtandao gani
Umeongea point sana tena hakuna ushulu bandaliitafikia muda wakulima wataagiza wenyewe china...hayo matakataka ukinunua china hayazidi 2.5M tsh usafiri hata milioni haifiki....ila mnakuja kutupiga bei mpk 7-9M tena bila ya tela. Wakati kwa pesa hiyo napata kila kitu kuanzia tela mpk impliments zake zote ambazo nyinyi huwa hamzitoi
pesa yote inalipwa kwenye nauli unapoenda kuchukua mzigo wako...Wakulima tunapigwa sana na hawa wajuba. Kuna jamaa niliwaulizia waterpump ya diesel wakanambia 2.5 M wakati china yanauzwa laki 6 ukiweka nauli mpk mzigo unachukua mkononi haizidi hata laki 9Umeongea point sana tena hakuna ushulu bandali
AlibabaUnaagizia Mtandao gani
yeah bei kitonga tu ila hawa jamaa huku wanakupiga milioni 7-11Naziona made in China 600 usd kama unagiza kuanzia moja
Vijana wanafanya udalali wanajisahau wanakula mara mbili ya mwenye maliKama ni mkulima jifunze kuagiza zana za kisasa za kilimo kutoka china au japan..easy tu mzigo unakufikia hata ukiwa kijijini kwenu
sio poa aisee hizi powertiller mbunge wa mbarali ,Harun Pirmohammed alikuwa akizigawa kwabsh 2M tu ila ghafla watu kati wameingilia kati wamezipandisha hadi 6m na zile zenye mikono mirefu mok sh 11MVijana wanafanya udalali wanajisahau wanakula mara mbili ya mwenye mali