Power of a common man

Sijui alitumia masaa mangapi kulipaki hapo.
 
Aaliita watu weengi wakalibeba plus photoshop
 
dereva njoo nikulipe mshahara wako na uchukue funguo uendelee na kazi
 
Ukitaka kujua kuwa nyumba yako si salama basi katupe funguo za nyumba baharini.Ndio kilichotokea hapo,if you push a human being to the limit then he can do the unexpected
 
It's so easy to do this, you know why?.......
 
Aliipiga jeki akaweka sinia zenye matairi na akaisukuma kwenye hiyo nafasi.
 
Folk lift hiyo imebeba na kuacha msala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…