Postgraduate Diploma in Technical Education

mustapha hashimu

Senior Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
145
Reaction score
31
Habari zenu wakuu naomba kufaham vzur kuhus hii kozi mtu akisoma baada ya kumaliza utakuwa Mwalimu? Au .

Mwenye kufahamu naomba kuelewa hili, hii kozi ipo Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya.

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…