natumai mtakuwa na asubuhi njema wanajamvi,eti nataka kuuliza kwamba je wachezaji ulaya huwa wanapata posho kipindi cha msimu kwa ligi kuu na uefa champions league na ni kiasi gani kwa anaejua? na swali la pili ni je timu ikishinda uefa champions league wachezaji hupata posho kiasi gani,asanteni.