Ports katika kompyuta

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
Wengi wetu neno Ports katika mambo ya kompyuta linaweza lisiwe geni. Au hata kama ni geni basi ni kitu amabcho tunakitumia bila kugundua. Leo tujaribu kucheki ABCc za computer/comunication ports na wajuzi zaidi wataongezea XYZ…. Au kunisahihisha pale nilipokosea


Port (s) ni nini .
Port katka kompyuta kazi yake ni kuwezesha mawasiiano kati ya computer na computer au kifaa kingine ne (Phsycial Ports kama USB port Seria Port, etc) na ndani ya computer yeneywe Port zinatumika kuwezesha mawasiiano kati ya application mbai mbali mbai (ii.e Virtual Ports). Usione unatumia MS word au Photoshop au Internet expoer au firefox. Hizi application zote zina port maaalum inyotambulika kwa mshine/OS. Sisi binadamu tunazitambua wa majina Lakini nyuma ya pazia zenyewe kwa zeyewe na zenyewe na hardware zinatambuana na kusikilizna na kuwasiiana kwa ports


Mtandao wa webopedia umejaribu kuelezea kwa lugha rafiki neno hilo . Vile vie kwenye online encyclopedia maarufu duniani Wikipedia wanaeleza kiundani kuwa kuna port number ziko reserved maalum kwa services Fulani. Ni zipi Hizo. Tazama Well-known Ports. Hapa wanaweza wasiwe sahihi 100% inawezekena wametumia Windows . Mac inaweza kuwa tofauti kidogo lakini Nao pia wana standard
So dhumuni ports ni kuwezesha mawasiiano Na ports zinaweza kuwa physical (Eg USB, SATA) au virtual ( eg TCP)

Je computer ina idadi ya ports ngapi?
Inaelezewa kwenye computerkuna ports 65535 na kati ya hizo walau 1024 ni zile reserved au zinazotumika sana . Na sometime baadhi ndio hackers na hata virus wanatumia kushambulia mashine au hata sever.

Ufafanuzi wa Ports zinafnye kazi kwa mfano na maelezo rahisi

Utaona watu hapa jamvini wanaweka Porxy lakini meble ya IP address ya proxy kuna Port number. Eg ( 192.168.0.2 :8080) Hiy port number 8080 au number yeyote kazi yake ndio kusikiliza( Listenning ) traffic zote zinazohusina na kupata huduma ya Proxy katika hiyo hiyo mashine .
Kwa hiyo muhudumiaji ( in this example Proxy server ) anawaambia "wateja"(masine zinazotaka kutumia proxy) kama wanataka hudma watume taarifa zao Exim Upanga ( in this example IP adresss) na waweke lebel kuwa ni barua za chumba number 3 ( in this example ndio Port 8080) . So pale Exim upanga wanatoa hudma nyingi...........

Je ports gani kwenye kompyuta yako ziko open /Listenning
Kwenye windows na inux Kujua ports zilizo open unaweza kutumia command za Netstat .

karibuni wadau kwa kuongeza kupunguza kupenda na kuponda.........
 
Nini Tofauti kati ya Harware computer ports na software ports.
 
Mbona naona kuna nyingine ni Slots sasa wewe umeelezea kama ports?
 
Mbona naona kuna nyingine ni Slots sasa wewe umeelezea kama ports?
Mkuu Slot ni ipi. BUt kila slot ina lead to port.atleast virtualy. Kama kompyuta au game console au hata simu ina slot ya upachika RAM au USB au VGA basi elewa nyuma ya pazai zile card/sot zinapewa au zina specific virtual port.
 
Mkuu Slot ni ipi. BUt kila slot ina lead to port.atleast virtualy. Kama kompyuta au game console au hata simu ina slot ya upachika RAM au USB au VGA basi elewa nyuma ya pazai zile card/sot zinapewa au zina specific virtual port.

Hapo nimekupata vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…